New Collabo ya kimataifa inayowahusisha A.Y na F.A

Ni Hamisi Mwinjuma na Ambwene Yesaya, au unaweza kusema ni Mwana F.A na
A.Y kwa mara nyingine tena baada ya kutoa “Bila kukunja goti”. Wameingia
tena studio na msanii kutoka
South Africa
anayejulikana na HHP kwa ajili ya collabo.Bila kukunja goti inafanya
vizuri sana huku video yake ikisubiliwa kwa hamu kuona jinsi
walivyocheza bila kukunja goti.Vipi kuhusu hii ngoma waliyorekodi na
HPP, tusubili kuisikiliza na kui-download hapahapa.
No comments:
Post a Comment