Nakualika kutazama video zote 4 za Exclusive interview ya Crazy GK kwenye XXL FM ya CloudsFM August 28 2013.
Ni interview ambayo ilisubiriwa sana baada ya ukimya wa zaidi ya miaka 6 kwenye bongofleva, King kutoka East Coast Team amerudi na kuitambulisha single mpya ambayo unaweza kuisikiliza kwenye post iliyopita.
Tazama kuanzia GK anaingia mjengoni mpaka ilivyokua ndani ya studio akiwa na kikosi chake kizima wakiwemo Ay na FA.

No comments:
Post a Comment