Mwanamke mmoja nchini China amenusurika kufa baada ya kuokolewa na
Askari wa Kikosi cha Zimamoto alipotaka kujirusha kutoka ghorofa ya saba
ya jengo lililopo nchini humo.
Askari alimuwahi mama huyo kabla hajajirusha na kumvutia pembeni.
Tukio hilo limetokea jijini Tongren, nchini China juzi Jumatatu.
Video hapo juu inamwonyesha askari aliyekuwa amejifunga kamba kiunoni kwa ajili ya usalama akimwokoa mama huyo na kumpeleka sehemu salama kabla ya kukimbizwa hospitali kwa matibabu.
Video hapo juu inamwonyesha askari aliyekuwa amejifunga kamba kiunoni kwa ajili ya usalama akimwokoa mama huyo na kumpeleka sehemu salama kabla ya kukimbizwa hospitali kwa matibabu.
No comments:
Post a Comment