Mbunifu wa mavazi Martin Kadinda kuja na mzigo mpya
Mbunifu wa mitindo aliyewahi kuwa mbunifu bora wa nguo za kiume mwaka 2012, Martin Kadinda aliyefanya vizuri na suti za single button, anatafajia kurudi tena na mzigo mpya.
Martin Kadinda
Kwa sasa Kadinda yupo barani Asia ambako alienda kuchukua material kwaajili ya kazi zake mpya ambazo zitazinduliwa kwenye onesho la Swahili Fashion Week mwezi December.
Huu ndio mzigo ambao Martin Kadinda ameufuata barani Asia
Kadinga akiwa ameshika baadhi ya material
No comments:
Post a Comment