STAA
wa BBA’The Chase’kutoka nchini Kenya Huddah Monroe amemchana aliyekuwa
mpenzi wake msanii asiyeisha vituko Prezzo kupitia mtandao wainstragram baada ya Prezzo kupost picha akiwa amepiga na Huddah huku akiandika maneno haya…“Funny how sme past dnt wanna be tense……welcome 2 my future….
Huddah
Monroe alishindwa kuvumilia na kuamua kutoa comment nzito inayosema
“Una future gani wewe? Mwanaume mzma hela hauna, @Prezzo254 , Broke as
he’ll still living under ya moms roof…..Wacha kujiaibisha, sitaki
nikuaibishe mbwa koko. Respect yourself!”.
No comments:
Post a Comment