Idadi ya watu waliofariki kufuatia kimbunga cha Haiyan kilichopiga nchini Ufilipino na Vietnam inaweza kufikia 10,000.
Mpaka sasa kimbunga hicho kimeshaua watu 1,200 nchini Ufilipino na kuwaacha wengine wakiwa wamejeruhiwa. Wengine wamekufa kwa kuzama ama kuangakiwa na majengo. Takriban watu milioni 4 wanaaminika kuathiriwa na kimbunga hicho kinachoaminika kuwa kibaya zaidi kupiga eneo hilo. Tazama baadhi ya picha za jinsi kimbunga hicho kilivyosababisha maafa makubwa.
Bendera ya Ufilipino ikiwa chini jengo lililoporomoka
Kimbunga cha Haiyan
Kijana wa Kifilipino akiwa amesimama katikati ya mabaki ya vitu huko Tacloban, Leyte – moja ya maeneo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha Haiyan
Kimbunga cha Haiyan kinavyoonekana kwenye picha
Mama akilia pembeni ya mwili wa mwanae aliyefariki baada ya kutafuta hifadhi kanisani
Miili ikiwa imelazwa kwenye kanisa
Msichana akisimama kutathimini hasara iliyotokana na kimbunga hicho
Mwanajeshi wa Vietnan akiwa amembeba mtoto wa kike kutoka kwenye roli baada ya kuokolewa na kupelekwa sehemu salama
Picha hii inaonesha jinsi mji wa Tacloban ulivyoharibika vibaya kutokana na kimbunga hicho
Picha inayoenesha eneo hili lilivyofurika maji
Takriban watu milioni 4 wanadaiwa kuathiriwa na kimbunga hicho nchini Ufilipino
Wakazi wa Phu Yen, Vietnam wakitengeneza magunia ya mchanga kujiandaa na kimbunga kingine
Wanajeshi na wafanyakazi wakitengeneza uzio kukabiliana na dhoruba jingine
Wanakijiji wakitupa gunia la mchanga kwenye paa la nyumba katika jimbo la Quang Nam, Vietnam
Wananchi wakiwa wamejipanga kupokea msaada
Wavuvi wa Vietnam wakiziweka sawa boti zao

No comments:
Post a Comment