Mamilioni ya Waafrika, Watu wa barani Ulaya na Marekani walishuhudia tukio la nadra la kupatwa kwa jua baada ya mwezi kuliziba jua wiki iliyopita.

Picha hii ilipigwa Golan Heights, Kaskakazini mwa Israel
Tukio hilo lilianza kuonekana kwanza kwenye jimbo Florida, Marekani kabla ya
kuendelea kwenye bahari ya Atlantic na kupita Ulaya, Afrika na Mashariki ya Kati. Ni Waaustralia pekee ndio walioshindwa kuliona.
Tazama baadhi ya picha za tukio hilo kutoka pande mbalimbali za dunia.

Picha hii ilipigwa New York, Marekani

Hii ilipigwa kutoka Santa Cruz de Tenerife kwenye visiwa vya Canary Islands, Hispania

Kupatwa kwa jua kunaonekana juu ya kanisa huko Jerusalem

Watu wa kabil la Rendile kwenye hifadhi ya taifa ya Sibiloi, Turkana wakishuhudia

Picha nyingine nzuri kutoka Santa Cruz de Tenerife

New York

No comments:
Post a Comment