Robyn
Rihanna Fenty a.k.a Rihanna ingawa alikutana na wakati mgumu kwa fans wake kwa kuzomewa na kumwagiwa chakula kwa kuchelewa jukwaani, ameonesha tofauti alipokuwa Lille, Ufaransa kwa kudondodosha machozi kwa
ajili fans wake walio-show love ya kutosha jumamosi July 20.
Diamonds hit
maker alianza kuongea kwa hisia kuwashukuru fans wake kwa kumuonesha mapenzi
tele huku akionesha kuumia kwa kuwa anaelekea kumaliza ‘Diamond Tour’ huko
Ulaya, machozi yalimtoka akiwa katikati ya maelezo wakati huo fans hao walizidi
kumshangilia.
“Nawapenda
wote, asanteni sana. Siwezi kuamini hiki …. Wote mnanifanya nifurahi sana, hiki
ni kila kitu chenye maana kwangu, na nasimama hapa na nahisi upendo katika
chumba hiki katika ziara yangu hii yote..inaelekea mwishoni na inasikitisha. Nachukia
kusema ‘goodbye’. You guys showe me so much love in this room tonight.” Alisema
RiRi.
Bada ya
maelezo hayo yalitoka moyoni aliendelea kumwaga machozi ya furaha kama ya ‘K-Lyn
kwa Bushoke’.
"I don't know why the f**k, I'm crying, that's crazy, thank you so much. I love you guys its a Diamonds World tour so you know we can't leave yet,"alifunguka kisha kuwapigisha shangwe zaidi mashabiki hao kwa kuanza kuiimba hit yake “Diamonds”.
Baada ya performance
shabiki mmoja alipost picha ya Rihanna na kuiweka Instagram na kuandika “You
saw me crying and you started to cry. So much emotions for the last show. I
miss you so much I love you.”
Rihanna
alijibu ujumbe huo, “it's all your fault! LOLOLOLOLOLOL! I felt you! You help
me to understand how a fan really thinks! The way you guys appreciate it all,
it kills me I can't believe how much you guys really love me! You care so much,
its overwhelming and yet so beautiful!”
hakuishia hapo akaendelea kubonyeza button na kuandika “Thank you is all I can say! Thank you Thank you Thank you all! My fans are truly my gift from God! And I thank him everyday for it!”
RiRi
anatarajia kumaliza tour yake ulaya July 28 nchini Finland kisha atatembelea
Asia, Australia na Afrika..na kukamilisha mzunguko huo kwa kuihamishia Marekani
mwezi November mwaka huu.
No comments:
Post a Comment