Hakuna kitu kizuri duniani kama kumsikia raia wa nchi nyingine akijitahidi kutaka kuongea lugha yako. Wakati ambapo Tanzania tunaona Kiingereza ndio ‘dili’, huko Marekani na nchi zingine wameendelea kujifunza kwa nia lugha yetu tamu ya Kiswahili. Ingia ndani uone wanafunzi hawa wanaojifunza Kiswahili katika chuo kikuu cha Indiana (Bloomington Campus) nchini Marekani wakitoa hoja zao kwenye mdahalo wa urais.
No comments:
Post a Comment