Tuesday, August 6, 2013

PICHA:Behind the scenes: Kipindi cha TV cha Irene Uwoya ‘Paradise’

 Irene amekutana na mastaa tofauti nchini na kuzungumza nao mambo mengi yatakayo kuwemo kwenye show yake, Paradise ya Clouds TV.
ay  
AY akiwa na mwanadada mrembo Irene Uwoya katika utengengezaji wa kipindi hicho

 
jb JB akiwa location kwenye utengenezaji wa kipindi cha Irene
P8040057-1024x682 Mtitu
P8040058-1024x682 Kazi ya kushoot ikiendelea
nyerere Steve Nyerere
ngaza
Irene akiwa na Mrisho Ngassa

Source: SwahiliworldPlanet na Millardayo.com

No comments:

Post a Comment

ShareThis