Mheshimiwa
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Mr ii Sugu ‘anatarajia
kutoa
ngoma yake mpya hivi karibuni iitwayo barua kwa Rais Jakaya Mrisho
Kikwete Waraka 2.
Akiandika
kupitia page yake ya facebook alisema kuwa yuko kwenye maandalizi ya
kuandaa ngoma hiyo mpya ambayo inakuja ikiwa ni muendelezo wa ngoma ya
kwanza iitwayo waraka Kwa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa Miaka kadhaa
iliyopita, kwa sasa ni Rekodi mpya ambayo ni barua Kwa Rais Jakaya
Mrisho Kikwete, Waraka No 2.
‘Niko kwenye maandalizi ya kurekodi track yangu mpya inaitwa barua kwa rais-waraka 2’alisema Sungu.
No comments:
Post a Comment