Cauple
iliyokuwa ina mvuto kwenye shindano ya BBA‘The Chase’Feza Kessy wa
Bongo na Oneil wa Botswana wameendelea kuuza magazeti nchini Botswana
baada ya kuandikwa sana wiki hii.
Magazeti
hayo yaliandika makala mbalimbali kuhusu wapenzi hao tangu wakiwa ndani
ya mjengo hadi sasa Feza akiwa bado nchini humo kwa wiki kadhaa
akiinjoi maisha na mpenzi wake Oniel.
Habari zinasema kuwa wapenzi hao wana mpango wa kufunga ndoa.
No comments:
Post a Comment