Familia ya Kanye West na Kim Kardashian inaonekana iko katika hatua za mwisho za kukamilisha ujenzi kabla ya kuhamia katika mjengo wao wenye thamani ya $11 million.

Wazazi wa North West wakiwa ‘site’ wakisimamia ujenzi huo wa jumba lao kubwa la kifahari
Huu ndio mjengo wa Kanye West na Kim Kardashian

Wazazi wa North West wakiwa ‘site’ wakisimamia ujenzi huo wa jumba lao kubwa la kifahari
Huu ndio mjengo wa Kanye West na Kim Kardashian

No comments:
Post a Comment