Jionee picha za Mastaa mbalimbali waliohudhuria tuzo za MTV Video Music Awards 2013 zilizotolewa jana (August 25) Barclays Center, Brooklyn, Marekani. Kama kawaida katika matukio makubwa kama hayo mastaa mbalimbali huwa wanajitahidi kupiga pamba kali ili wawe na mvuto wa kipekee na wengine huwa wanaaamua kuwa ‘Wacky’ ilimradi tu wamake headlines. Jionee mwenyewe.
No comments:
Post a Comment