Monday, August 12, 2013

Feza Kessy: I want to make music that will make a lot of impact everywhere (Video)

Baada ya kutoka jana kwenye shindano la Big Brother Africa, Feza Kessy leo amehojiwa na DSTV
kwenye interview iliyooneshwa mtandaoni kwa njia ya The Hangout ya Google+.
Miongoni mwa masuala aliyozungumza ni pamoja na muziki atakaoufanya baada ya shindano hilo.


“I have no idea because I’m trying to work on new things after big brother so am not sure what I will release but I know it will be something more worldwide because the last was that came out was a zouk rhumba song and now with the platform that I got this year, I am so blessed and I want to able to cross boundaries so I want to make music that will make a lot of impact anywhere, so it’s something that will be so nice,”alisema Feza.

Kuhusu kitu cha kwanza atakachokifanya akifika nyumbani, Feza alisema: I am going to kiss my baby from head to toe, I miss him so much. They have to bring him to the airport because If don’t see him I will throw a tantrum.

ShareThis