Rapper huyo mwenye miaka 35, ambaye jina lake halisi ni Tauheed Epps, alikamatwa August 22 kwenye jiji la
Oklahoma City baada ya polisi kusimamisha basi hilo.
Kwenye ukaguzi huo polisi walikamata pia madawa ya hydrocodone na Flexeril ambayo hayakuwa yameelekezwa na daktari. Flexeril hutumika kupoza misuli na hydrocodone hupunguza maumivu. Maofisa pia walikamata mabaki ya bangi na karatasi za kusokotea.
No comments:
Post a Comment