Rais wa
Marekani Barack Obama ameungana na watu wengine maarufu duniani kuwapongeza
Prince William na mkewe Kate kwa kupata mtoo wao wa kwanza akiwa ni mtoto wa
kiume.
Obama
amewatumia salamu za pongezi zikiwa zimebeba ujumbe unaowakilisha familia ya
Obama lakini pia nchi ya Marekani kwa kuwa ni mshirika mkubwa wa Uingereza.
“Michelle and I are so pleased to
congratulate The Duke and Duchess of Cambridge on the joyous occasion of the
birth of their first child,” iameandika Obama katika ujumbe huo.
Katika kuunganisha
mawazo yanayowakilisha nchi yake na uhusiano wa Marekani na Uingereza kwa
wakati huu ambao familia hiyo ya inamkaribisha prince mwingine aliandika.
“We wish
them all the happiness and blessings parenthood brings. The child enters the
world at a time of promise and opportunity for our two nations. Given the
special relationship between us, the American people are pleased to join with
the people of the United Kingdom as they celebrate the birth of the young
prince.”
Prince William
na mkewe Kate wamempata mtoto wa kiume july 22 majira ya saa kumi jioni kwa saa
za huko Uingereza (Greenwich).
No comments:
Post a Comment