Friday, August 16, 2013

Baada ya kukosa mapesa ya BBA, bado Nando au Feza wanaweza kupata hili dili.

2 
Baada ya Feza Kessy na Ammy Nando kutolewa kwenye jumba la BBA nafasi yao kuongeza namba kwenye account zao za bank kutokana na mashindano hayo bado ipo.
Unaambiwa mmoja kati ya Big brother housemates atachaguliwa kuwa brand Ambassador wa  kampuni ya RLG communications ambao ni wauzaji wa Uhuru tables na pia ni co-sponsor wa BBA The Chase.


RLG communications wamekua wanatoa zawadi za tablets kwa watu wanaowapiga kura kwa washiriki wa Big brother lakini mpango wao hivi sasa ni kumchagua mmoja kati ya washiriki wa BBA The Chase kuwa balozi wao ambapo Feza na Nando bado wana nafasi ya kupata hili dili.

No comments:

Post a Comment

ShareThis