Sunday, August 11, 2013

BREAKING NEWS:BASI LA MERIDIAN LAANGUKA BAGAMOYO NA KUUA WATU

Likiwa limetoka rombo kwenda Dar. Limeanguka
 hapa karibu na mbwewe Bagamoyo. Watu wamekufa.
Basi limekatika siti zipo njee. Dereva bado hajatolewa.


Idadi ya waliopoteza maisha na waliojeruhiwa
haijafahamika bado ila tutajuzana kadiri
ya taarifa zitakavopatikana

ShareThis