Wednesday, August 28, 2013

Crazy GK kurudi rasmi kwenye game August 28, na atavunja rekodi kwa usafiri atakaoutumia kufika Clouds fm


gk
Baada ya miaka zaidi ya mitano ya ukimya nje ya bongoflava…… taarifa ikufikie kwamba Gwamaka Kaihula a.k.a King crazy G.K wa East Coast anatarajiwa
kurudi kutambulisha rasmi kurudi kwake kwenye bongofleva August 28 2013 ambapo show pekee iliyopata nafasi ya kwanza ya kufanya utambulisho wake ni XXL ya Clouds FM.

Pamoja na kukutangulizia hiyo sentensi ya kwanza hapo juu, unaambiwa pia ndio utakuwa ujio mpya na rasmi wa East Coast team huku taarifa za uhakika zikithibitisha kwamba G.K atafika mjengoni Clouds FM kwa usafiri wa helicopter.




kuna video hata picha ambazo zitachukuliwa wakati akiwasili na usafiri huo
kuwa karibu na Bongo crunk kwenye facebook:https://www.facebook.com/bongocrunkTz.
Pia stay tune hapa hapa  kwenye blog yetu: www.bongocrunk.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

ShareThis