Tuesday, August 13, 2013

Exclusive Interview: Chidi Benz Na Utumiaji wa Madawa Ya kulevya na Utambulisho wa nyimbo mpya.

 

Kupitia kipindi cha clouds fm Chid Benz Akiri kutumia Madawa ya Kulevya ambayo aliweza kutumia kwa muda mrefu 

 na Kuyaacha hivi karibuni.

Kupitia kipindi cha XXL cha clouds Fm kilichofanya interview na Rapa Chidi benz kutokea ilala la Familia,leo allikiri kuwa ni mtumiaji wa madawa ya kulevya kwa muda mrefu na watu wengi wa karibu yake hawakuweza kugundua kuwa Rappa chid benz ni Addict wa madawa ya kulevya.

Hivyo chidi benz alikuja kugundua kuwa utimiaji huo wa madawa ya kulevya yamemfanya kila baada ya dakika ishirini kutaka kutumia na kusabisha kushindwa kufanya kazi zake kwa ufasaha kitendo ambacho kilimuuma sana na kuchukua uamuzi mgumu wa kusafisha kongosho ndani ya mwili wake ambalo lina hifadhi Gesi ya kilevi hicho cha madawa ya kulevya.

Inasemekana kusafisha kongosho hilo ni Gharama na pia ni hatari kwa afya ya mwanadamu lakini chidi benz alikubali kufanya hivyo ili aachane kabisa na Madawa hayo moja kwa moja ili aweze kufanya kazi yake kwa ufasaha amabapo aliadai angetumia Dawa za kawaida za kukata kiu ya madawa isingesaidia kwani ingemfanya arudie na pia aonekane kuwa mnafiki kwa jamiii hivyo ili mgharimu Takriban Mil 15 za ki bongo kuweza kufanya treatment hizo.
Anasema ushauri huo aliiupata kupitia kwa mwanamuziki kutoka kenya aitwaye Nonini.


Pia Chidi benz alikuwepo  clouds fm kwaajili ya kutambulisha nyimbo yake mpya ambayo bado hajaipa jina anasubiri mashabiki na watu mbali mbali wa Media kuipa jina nyimbo hiyo..ingawa baadhi ya watu wameanza kuipa jina kama "NAKAZA ROHO" alisema chid Benzi.



We say Big up and wish you  all the very Best Chidd benz hope utakuwa Kioo kikubwa cha jamii....

STAY TUNE soon tutakuletea Nyimbo mpya ya Chidi Beenz. 

 

ShareThis