Wednesday, September 4, 2013

FEZA,ONEIL WAENDELEA ‘KU’MAKE HEADLINE’ KWENYE MAGAZETI BOTSWANA


Cauple iliyokuwa ina mvuto kwenye shindano ya BBA‘The Chase’Feza Kessy wa
Bongo na Oneil wa Botswana wameendelea kuuza magazeti nchini Botswana baada ya kuandikwa sana wiki hii.
Magazeti hayo yaliandika makala mbalimbali kuhusu wapenzi hao tangu wakiwa ndani ya mjengo hadi sasa Feza akiwa bado nchini humo kwa wiki kadhaa akiinjoi maisha na mpenzi wake Oniel.
Habari zinasema kuwa wapenzi hao wana mpango wa kufunga ndoa.

No comments:

Post a Comment

ShareThis