Wednesday, September 4, 2013

Baadhi ya picha za jinsi Askofu Kulola alivyoagwa Mwanza

2 
Muhubiri huyu maarufu Askofu Moses Kulola alifariki akiwa na miaka
85 hospitali Dar es salaam August 29 2013 ambapo kwa mujibu wa Emmanuel Mbasha ambae ni mume wa mjukuu Flora Mbasha, mzee Kulola alikua akisumbuliwa na maradhi mbalimbali.
Gazeti la Uhuru leo September 4 limeandika kwenye ukurasa wa kwanza kwamba Rais Jakaya Kikwete ataongoza Watanzania kwenye maziko ya Askofu Kulola.
4
5
B39A0888
Mama Kulola
ndugu aliezidiwa 
Pichaz zote zimetoka gospelkitaa.blogspot.com ambao  huwa wanaripoti mbalimbali za Injili Tanzania.

No comments:

Post a Comment

ShareThis