Thursday, August 15, 2013

Exclusive picha za kwanza zinazomuonesha Kim Kardashian hivi karibuni toka kujifungua kwake:



Kim Kardashian hatimaye alionyesha uso wake kwa umma jana tangu  kujifungua kwake
mtoto North West - Mwanadada huyo alionekana pande za L.A. medical facility akienda hospitali
kwa matibabu katika kituo hicho - Jumatano .

Wawili hawa hawakuwahi kuonekana pamoja tangu mwanadada Kim kujifungua,picha zao za mwisho zilionekana mwezi juni
wakiwa na furaha na Afya nzuri.

 Huyo wa mbele ndie aliye mbeba North West

Shauku ya watu wengi nikutaka kuona picha ya binti yao North west kwani wawili hao hawakuwahi kuonesha uso au picha ya bint wao
kwa hiyo kudhibiti hali hiyo wawili hao walionekana na binti yao lakini alikuwa amefunikwa kwa Umakini wa hali ya juu kabisa ili kuzuia mapaparazi kuchukua picha ya binti wao.
hata hivyo kim kardashian pia alijifunga shati kubwa kiunoni kwake ili kufunika umbo lake kwani pia watu wengi hutamani kuona hali ya umbo lake baada ya kujifungua.


 
SOURCE: TMZ
 

No comments:

Post a Comment

ShareThis