Friday, August 30, 2013

RAY C AOKOKA RASIMI...HIZI NI PICHA ZAKE AKIBATIZWA

  Jina la Rehema Chalamila a.k.a Ray C linaendelea kutokea kwenye mitandao kutokana na
kile kinachoonekana kuwa mabadiliko katika maisha yake toka aanze kupona kutoka katika matatizo aliyokuwa nayo (madawa), na sasa ameamua kuutafuta utakaso wa kiroho kwa kuzaliwa kwa mara ya pili (kubatizwa).


Jana (August 29) Ray C ali-share picha kupitia Instagram na tweeter zikimuonesha akiwa anabatizwa , lakini pia alitweet kuhusiana na uamuzi wake huo na kwamba shetani hana tena nafasi kwake.


No comments:

Post a Comment

ShareThis