Wednesday, August 14, 2013

Kendrik Lamar Awatupia Nuclear wanahiphop kibao baada ya kudondosha nuclear bomu kwenye "control"

0813_kendrick-lamar_getty2


Kendrick Lamar azua gumzo kupitia mitandao mbali mbali (on fire) baada ya kudondosha verse ya moto hatari na isiyo na huruma ndani ya ngoma aliyoshirikishwa na Big Sean "Control"
na kutokuwaacha Drake, J Cole, Asap Rocky, Wale, Pusha T, na Meek Mill, Big K.R.I.T, mbali na hasira zake pale alipowachana ndani ya verse hiyo na kujitamba kuwa yeye ndio king wa NY pamoja na king wa cost.

"I'm usually homeboys with the same niggas I'm rhymin' with," 
 "But this is Hip Hop and them niggas should know what time it is. That goes for Jermaine Cole, Big K.R.I.T, Wale, Pusha T, Meek Mill, ASAP Rocky, Drake. I got love for you all but I'm tryin' to murder you niggas. Trying to make sure your core fans never heard of you niggas [and that] they don't want to hear not one more noun or verb from you niggas. What is competition? I'm trying to raise the bar high." 

Mistari hiyo imefata baada ya Lamar kudai kuwa Rappers wapya sasa hivi wameachwa nje ya mijadala kibao ambayo ameisikia

"I heard the barbershops be in great debates all the time," Lamar amesema kwenye ngoma hiyo. "About who's the best emcee? Kendrick, Jigga and Nas, Eminem, Andre 3000. The rest of y'all new niggas [are] just new niggas. Don't get involved." 

Ngoma hiyo "Control" ime-leak siku ya jumatatu na inasemekana kutokuwepo kwenye album ya Big Sean 

isikilize hapa...onyo.. its dirty




Use Facebook to Comment

ShareThis