Saturday, August 24, 2013

Picha: Julio (BBA Startame) na Allen Mushi wa Times FM kuhudhuria fainali za BBA

Mshiriki wa mwaka jana wa BBA Stargame, Julio na Allen Mushi wa Times FM wamechaguliwa kwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye fainali za Big Brother Africa kesho nchini Afrika Kusini. Tazama picha na video zinazowaonesha wakiwa uwanja wa ndege leo alfajir kuelekea jijini Johannesburg.
_MG_0092

_MG_0093
_MG_0097
_MG_0100
Tazama pia video ya Allen akiongea.
Picha: Edwin Elinema, Times FM

No comments:

Post a Comment

ShareThis