Monday, August 12, 2013

PICHA: MAJENGO MAPYA YA KISASA NJE YA JIJI LA DAR ES SALAAM YAZIDI KUMEA

 Kibo Commercial Complex lililopo maeneo ya Tegeta pembeni mwa barabara ya Bagamoyo Road ni moja tu ya.......

 majengo mengi ya biashara yanayomea kwa kasi pembezoni mwa jiji la Dar es salaam ambalo muda si mrefu ujao utakuwa hauna City Centre tena. Hvyo sio kweli kwamba majengo mapya yote yanajengwa 'Posta'
 Ni mjengo wa nguvu. Hata ukumbi wa muziki na mikutano pia umo humo
Benki ya CRDB imesogeza huduma zake kwa wadau wa maeneo hayo ya Tegeta

ShareThis