Saturday, August 10, 2013

PICHA:Baadhi ya Wasanii Waliopagawisha Dar Live usiku wa jana.

  Msanii wa muziki wa kizazi kipwa, Ali Kiba, akiwapagawisha maelfu ya mashambiki wa muziki katika ukumbi wa Dar Live, Dar es Salaam,

 
 kwenye tamasha iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania kusherekea sikukuu ya Idd siku ya Ijumaa. Wasanii wengine waliokuwa kwenye tamasha hilo ni TMK wanaume halisi na H-Baba.
 T.M.K Wanaume Family  wakikamua wakipagawisha maelfu ya mashambiki wa muziki katika ukumbi wa Dar Live, Dar es Salaam, kwenye tamasha iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania kusherekea sikukuu ya Idd siku ya Ijumaa. Wasanii wengine waliokuwa kwenye tamasha hilo ni Ali Kiba na H-Baba.
Msanii wa muziki wa kisasa, H-Baba akipagawisha maelfu ya mashambiki wa muziki katika ukumbi wa Dar Live, Dar es Salaam, kwenye tamasha iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania kusherekea sikukuu ya Idd siku ya Ijumaa. Wasanii wengine waliokuwa kwenye tamasha hilo ni Ali Kiba na TMK wanaume halisi.

ShareThis