Monday, August 12, 2013

Tamasha la Afrika Marekani-FestAfrica 2013 Lilofanyika hivi karibuni

IMG_3439
Tanzania iliwakilishwa vyema kwenye tamasha la kila mwaka liitwalo FestAfrica lililofanyika.........

 mwishoni mwa juma huko Silver Spring Md na kuhudhuriwa na mamia ya wakazi.Pichani ni Mdau Nene ambaye ni Mtanzania aliyeongoza kamati ya maandalizi ya Tamasha hilo akijivunia kazi yake.
IMG_3245 
Tanzania iliwakilishwa vyema kwenye tamasha liitwalo FestAfrica la 2013 lililofanyika mwishoni mwa juma Silver Spring Md lililohudhuriwa na mamia ya wakazi wa DMV.
IMG_3256 
Bendera za nchi mbali mbali za Afrika.
IMG_3246 
Bendi kutoka Sierra Leone ikifanya shughuli.
IMG_3247
 IMG_3269Maonyesho ya Mavazi ya Kiafrika yalitia fora kwenye Tamasha hilo. IMG_3282 IMG_3300 IMG_3326 IMG_3337
Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com

ShareThis