Monday, August 19, 2013

Video: Feza Kessy akirekodi muziki Afrika Kusini na kukutana na Oneal studio

Kabla ya kurudi Tanzania, Feza Kessy alipitia kwenye miongoni mwa studio za Afrika Kusini na kurekodi wimbo.
BRkK08wCAAEfqSz
Katika video ya BBA ya maisha yake baada ya The Chase, Feza anasema shindano hilo limempa
fursa ya kufanya muziki ambao amekuwa akiupenda tangu siku nyingi. Akiwa anarekodi, mchumba wake Oneal aliingia na kumfanyia surprise ya nguvu.

Bonyeza hapa kuona video hiyo.

No comments:

Post a Comment

ShareThis