Thursday, September 19, 2013

Guinness World Record: Mwanamke mwenye kucha ndefu zaidi duniani (Picha)

Chris Walton, 47 ndiye mwanamke mwenye kucha ndefu zaidi duniani zenye urefu unaozidi futi 20, hajawahi kuzikata toka mwaka (1993).
kucha-6

Walton ambaye pia ni mwanamuziki alihudhuria uzinduzi wa Guinness World Records 2014 uliofanyika London, Uingereza Jumanne wiki hii.
kucha-1
kucha-2
kucha-4
kucha-5
kucha-7
kucha-8
kucha-3
kucha-9


No comments:

Post a Comment

ShareThis