Friday, September 6, 2013

Hussein Machozi afunga ndoa kimya kimya na msichana wa Kenya

Idadi ya wasanii wa bongo fleva wanaovuta majiko (kuoa) inazidi kuongezeka, na safari hii aliyeiaga kambi ya ukapela ni hit maker wa ‘Kwaajili Yako’ Hussein Rashid maarufu kama Hussein Machozi ambaye (August 28) amefunga pingu za maisha kimya kimya na Shu Yunus Omar raia wa Kenya.
Hussein-4
Kupitia kurasa zao za facebook wote wawili Hussein Machozi na
mkewe Shu Omar wamebadilisha status zao kutoka ‘In a releationship’ na kuwa ‘Married’ huku mkewe akielezea furaha yake kuwa mke wa staa huyo kutoka Manyoni, Singida.
hhh
h1
Hizi ni baadhi ya picha za chaguo la Machozi
Hus-1
hus-2
hus-3
hus-4
hussein
Hussein-2
Addicted Hit maker pia ni baba wa mtoto mmoja wa kike aitwaye Zakia.
Hongera sana Hussein kwa kupiga hatua hiyo kubwa katika maisha.

No comments:

Post a Comment

ShareThis