Wednesday, September 11, 2013

Picha: Madee aonesha nyumba yake anayojenga Mbezi, DSM

madee nyumba
Kama bado unawasiwasi kuwa
hip hop hailipimuziki haulipi inawezekana ukawa na maana nyingine ili siyo kama miaka kadhaa iliyopita ambapo kumwona msanii anamkoko ilikuwa inaonekana kitu cha ajabu na kwa wasanii wachache, tofauti na kipindi hiki ambacho single moja inaweza kumuingizia msanii hata zaidi ya milioni mia kupitia shows.
Hivi karibuni Madee wa Tip Top Connection alizungumza na
Bongo5 na kufunguka kuwa single yake ya ‘Sio Mimi’ imefanikiwa kumuingizia zaidi ya milioni 130 mpaka sasa, na kwa uthibitisho leo amepost picha ya mjengo wake ulioko Mbezi.


Madee alisindikiza picha hii na caption “Siri ya utajiri ni ubahiriii#hahaha welkam white houze@mbezi dsm#”.

No comments:

Post a Comment

ShareThis