
Kiukweli hii ni moja ya show zilizovunja rekodi Fiesta 2013 mtu wangu, muchlove sana kwenu watu wetu wa nguvu 88.1 Mwanza

Hii picha ya pili inaonyesha upande wa kushoto wa stage yani… daaah!

Imagine hapa ni upande wa kulia wa stage…

Upande wa kushoto wa stage

Shilole kazini

Dj Fetty na B12 kutoka XXL ya Clouds FM ndio walihost show

Cassim Mganga

Linah kwa stage!

Makomando walifanya show kali kama kawaida yao na kutamba juu…

Kala Jeremih..

Nikki wa II

H Baba kazini

Rich Mavoko

Mr. Blue

Young Killer Mwanza Mwanza

Quick Rocka

Chege na Temba

Joh Makini

G Nako na Joh Makini

Ney wa Mitego
No comments:
Post a Comment