Monday, September 16, 2013

TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 NDANI YA UWANJA WA JAMHURI MKOANI MOROGORO.

 
 Mmoja wa Wasanii mahiri ambaye anafanya vyema kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013,Rachael kutoka THT akionesha umahiri
wake wa kuimba na kukata mauno jukwaani,huku shangwe zikiwa zimetawala kila kona ya uwanja usiku huu ndani ya uwanja wa Jamhuri,mkoani Morogoro.
 Sehemu ya mashabiki wa tamasha la serengeti fiesta 2013 wakishangilia vilivyo usiku huu. 
 Wadau katika pozi la picha usiku huu wakati tamasha la serengeti fiesta likiendelea ndani ya uwanja wa Jamhuri,mkoani Morogoro.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Shilole akiwa madansa wake wakilishambulia jukwaa vilivyo usiku huu. 
 Serengeti fiesta 2013 ni noma saaana usiku huu,kausheni tuu.!
 MKali wa mangoma kutoka Clouds FM,Dj Zero akikamua jukwaani usiku huu wakati tamasha la serengeti fiesta 2013 likiendelea.
 Ni noma saana kwa mashabiki usiku huu wakato tamasha la serengeti fiesta 2013 likiendelea.
 Mwanadada miwngine ambaye anafanya vyema kwenye anga ya muziki wa Bongofleva,Linah akiimba jukwaani usiku huu kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013 ndani ya uwanja wa Jamhuri,mkoani Morogoro.
 Ni burudani asilimia mia kila kona ya uwanja wa jamhuri usiku huu.
 Ni zao lingine la vipaji kuĂ„itia shindano la Serengeti Fiesta supa nyota 2012,ambaye kwa sasa anafanya vyema sana katika muziki wa bongofleva,anaitwa Neylee akiimba jukwaani usiku huu.
 Wadau wakifuatilia yanayojiri kwenye jukwaa la serengeti fiesta usiku huu.
 Na sisi tupo pia na wakazi wa Morogoro noma saana usiku huu.

No comments:

Post a Comment

ShareThis