Wednesday, September 11, 2013

Unataka kujua mshindi nani Kati ya B12,Diamond na Adam Mchomvu,kwenye kucheza Ngololo style? Jibu lipo kwenye video hii

ay
Leo Sept 11 kwenye XXL Diamond alitoa rasmi audio ya ngoma yake Number One, wakati ngoma hiyo ina play Diamond pamoja na watangazaji wa XXL walicheza pamoja Ngololo style. Angalia video hapa mambo yalivyokuwa na umjue nani mkali wa kucheza Ngololo kati ya Adam Mchomvu,Diamond na B12.

No comments:

Post a Comment

ShareThis