Tuesday, September 10, 2013

Video: inamuonesha Drake akichemsha kuliwasha Bugatti lake.

drake_bugatti_tonroto1 
Mbele ya watu wote wakiwemo mashabiki zake ambao walikuwa wanataka
kuona Drake akiondoka na Bugatti lake, mkali kutoka Young Money alipatwa na tatizo la kuwasha ndinga hiyo yenye thamani kubwa. Inaweza kuonekana ni kama alikuwa anafanya utani lakini alijaribu mara ya kwanza no, mara ya pili no. So, mashabiki hao waliotaka kupata video ya tukio la Drake akiondoka na Bugatti. Wameishia kupata clip ya Bugatti likimgomea Drake kuwaka. Icheki hii video hapa.

No comments:

Post a Comment

ShareThis