Thursday, September 12, 2013

Video: Kendrick Lamar amchana Meek Mill ‘I have no time for irrelevant ni**as’

Baada ya Meek Mill kumdiss Kendrick Lamar kwenye “Ooh Kill ‘Em,” MC huyo wa Compton amerudisha mashambulizi alipokuwa akitumbuiza kwenye show Williamsburg Park, Brooklyn juzi usiku.
Tazama video hapo chini.....bonyeza Read more


“I been doing this shit for years. I mastered this shit. I have no time for irrelevant ni**as [or] new ni**as,” Kendrick alisikika akisema.
Baada ya habari kuenea, Meek alitumia Twitter kujibu, “King of what? Somebody please tell me.”


No comments:

Post a Comment

ShareThis