Wednesday, September 11, 2013

Watu 200,000 duniani watuma maombi kwenda kuishi milele kwenye sayari ya Mars


Tiketi ya one way kwenda kuishi kwenye eneo tasa, lenye ardhi ya ajabu, joto linaloweza kugota 150°C, inaweza isiwe na mvuto kwa wengi, lakini mpaka sasa watu laki 2 kutoka nchi 140 duniani wametuma maombi yao kuwa
sehemu ya wakoloni wa kwanza kwenda Mars.
Waombaji wamekubali kuishi kwenye sayari hiyo nyekundu kwa maisha yote yaliyosalia na watashutiwa kwenye reality TV show. article-0-16D5B5EA000005DC-73_634x242
Kampuni ya Uholanzi ya Mars One inajiinda kwenda kwenye sayari hiyo October 2016 kuandaa mazingira na makazi kuwekwa huko mwaka 2018.
article-2259706-16D5B5DE000005DC-319_634x322 Greda itakavyokarabati ardhi kuwezesha watu kuishi Mars
Imesema kuwa mifumo ya kwenda huko itajaribiwa mara 8 kabla haijatumiwa kusafirisha watu na kwamba safari itakuwa salama kuliko ile ya kwenda mwezini.

No comments:

Post a Comment

ShareThis