Saturday, September 14, 2013

Wimbo mpya wa Drake ‘Wu-Tang Forever’ wenye dalili za kuwa diss ya Chris Brown (Audio)

Rapper kutoka Canada Drake ametoa single ya tatu ‘Wu-Tang Forever’ kutoka katika album yake ya tatu ‘Nothing Was the Same’ ambayo inaamsha hisia za diss yake na mwimbaji wa R&B Chris Brown pamoja na uhusiano wake na Rihanna.
drake-cover
Mistari ambayo ina kila dalili za mashambulizi kwa Chris katika wimbo huo inasema hivi...

‘I just like the rush when you see your enemy somewhere in the club
And you realize he just not in a position to reciprocate your energy
You ain’t ever worried cause he’s not who he pretends to be’
Ukiachilia mbali mistari hiyo kuna sehemu nyingine katika wimbo huo ambayo ina dalili kuwa ameimbiwa Rihanna
‘I just love when I’m with you, yeah, this shit is on ten
We used to be friends, girl, and even back then’
Sehemu nyingine inayoonekana kuwa ameimbiwa Riri inasema,
‘If you nervous, hit the lights, I know we only f**king out of spite
Cause your man don’t do you right, do you right, I could f**k you so good’
Album ya tatu ya Drizzy ‘Nothing Was the Same’ inatarajiwa kutoka (Sept 24)
Sikiliza ‘Wu-Tang Forever’


No comments:

Post a Comment

ShareThis