Saturday, October 5, 2013

Baadhi ya picha za Fiesta Tanga Oct 4 2013

9Kiukweli watu wangu wa nguvu 96.0 Tanga mlitisha sana aisee… muchlove kwenu wote kutoka maeneo mbalimbali kama Raskazone, Pangani, Handeni, Nguvumali, Bagamoya, Donge, Komesho na maeneo mengine yote ya T.A yani japo mvua ilitaka kuharibu lakini love yenu kwa muziki haikubadilishwa.
10
7
8
14Hii picha ya juu ni ya upande wa kulia mwa stage
3Meninah kwenye stage
2
4
5Walter Chilambo mshindi wa BSS 2012.
6 
Ney Lee.
11Linah.
12 
B12 ndio alikua host wa show nzima
13Godzilla kutoka Salasala
15 
Hii picha hapa juu ni upande wa kushoto mwa stage
16Shilole kama kawaida
17
18
19
20
21
22 
Juma Nature alikuepo pia
23 
Young Killer wa Mwanza Mwanza
24 
Young Killer na Stamina.
25
26
27 
Mr. Blue
28
29 
Rich Mavoco
30 
R.I.P kwa wote waliotutangulia kama Langa, Sharo Milionea na Ngwair.
31 
Cassim Mganga
32 
Mwana FA na Ay.
33 
J Martins kutoka Nigeria alikuepo pia… hapa ni wakati alipoamua kumzawadia huyu mtoto cheni aliyokua amevaa pamoja na pesa za kitanzania.
34
35
37Ay, J Martins na Mwana FA wakicheza bila kukunja goti.
36 
Dully Sykes ni miongoni mwa waliofanya kazi nzuri sana yani…
Maunda Zorro 
Maunda Zorro

No comments:

Post a Comment

ShareThis