Wednesday, October 2, 2013

New Hit song: #Omba Omba - Fix , Marinjirinji & De-Marie

Sikiliza ngoma mpya kutoka kwa vichwa vitatu Fix , Marinjirinji na mwanadada mwenye sauti kali katika industry hii ya music anaye fahamika kama De-Marie.
Wimbo huu umeongelea vitu vingi sana vinavyotokea kwa watu wasio  na
hali nzuri ya kimaisha kutokana na ukosefu wa baadhi ya viungo vyao vya mwili na kuamua kutafuta Riziki katika njia mbali mbali ili kupata msaada  kutoka kwa watu mbali mbali wenye uwezo wakuwasiadia na baadae kudharauliwa na kunyanyaswa .

Sikiza ngoma hiyo hapa chini uone watu walivyokuwa wakipita kwenye Beat na  Hasira kali .

No comments:

Post a Comment

ShareThis