Friday, November 8, 2013

Album mpya ya Drake ‘Nothing Was The Same’ imefanikiwa kufikia Platinum

Rapper kutoka Canada Aubrey Drake Graham anayefahamika zaidi kwa jina moja la Drake anastahili kusheherekea matunda ya album yake mpya ‘Nothing Was The Same’, baada ya mauzo ya album hiyo kufanikiwa kwenda Platinum.
FIFA 14 Launch
Ikiwa ni mwezi mmoja tu toka album hiyo itoke, rapper huyo wa
OVO amefanikiwa kuuza zaidi ya nakala milioni moja za album hiyo.
Kwa mujibu wa Hits Daily Double, wiki hii pekeyake nakala 38, 270 za ‘Nothing Was The Same’ zimeuzwa na kufanya mauzo kuzidi nakala m1 iliyowezesha kufikia status ya Platinum.



No comments:

Post a Comment

ShareThis