Thursday, October 17, 2013

Picha: Vibaka watafuta ‘fursa’ kwenye gari ya Mpoto


 
Vibaka kweli noma- wameitafsiri fursa vibaya usiku wa kuamkia leo home kwangu,
 

Wakati Mrisho Mpoto akiimalizia ziara za fursa zinazoendelea kwenye msimu wa Serengeti Fiesta, huku nyuma nalo Jeshi la Kubomoa Taifa limeamua kutumia fursa kwa kuiba vitu kwenye gari la Mjomba huyo. Mrisho ameshare picha ya gari lake likiwa limenyofolewa baadhi ya vifaa muhimu.
 

No comments:

Post a Comment

ShareThis