Tuesday, October 1, 2013

Song: Lord Eyes – Roho Zinawauma


Sikiliza hapa ngoma mpya kutoka kwa Rapper wa kundi la N2N Soldiers pamoja na WEUSI, Lord Eyes. Kwenye wimbo huu ameongelea vitu vingi vilivyomtokea hivi karibuni na kwenye game kwa ujumla. ROHO ZINAWAUMA imetengenezwa na DX wa
Noiz Maker, Arusha.




Add a comment

comments




No comments:

Post a Comment

ShareThis