Wednesday, November 6, 2013

Exclusive Video: Salamu Zao - Nay wa mitego

 Exclusive  video mpya ya Ney wa Mitego ambayo iliingia kwenye headlines kabla hata haijatoka, hii ni baada ya Ney wa Mitego kukamatwa na kupelekwa polisi na kushikiliwa kwa dakika kadhaa kisa alikutwa akishoot hii video na sare zinazofanana na nguo za Polisi.

Tazama video hapo chini ........



 

No comments:

Post a Comment

ShareThis