Saturday, November 30, 2013

Picha: Wasanii na wadau wa burudani wa Tanzania wawasili Afrika Kusini tayari kwaajili ya tuzo za CHOAMVA 2013 zitakazotolewa leo


Leo (November 30) ndio siku ambayo tuzo za Channel O (CHOAMVA) 2013 zinatarajiwa kutolewa , katika show itakayowakutanisha mastaa mbalimbali wa Showbiz wa Afrika.
Choamva-Jokate
Wasanii na wadau mbalimbali wa burudani wa Afrika wakiwemo kutoka Tanzania tayari
wamewasili jijini Johannesburg, Afrika Kusini, ambako ndiko tuzo hizo zitatolewa leo kuanzia saa tatu za usiku kwa saa za Afrika Mashariki, na kuoneshwa Live kupitia TV.
Tanzania tunawakilishwa na Ambwene Yessaya aka AY, ambaye yuko katika vipengele viwili katika tuzo hizo za Channel O Africa Music Video Awards 2013.
Hizi ni picha za baadhi ya mastaa kutoka Tanzania ambao wameshare katika akaunti zao za Instagram
Choamva-Jokate
Jokate na AY “Channel O Africa awards 2013 here we come #Joburg #Soweto #CHOAMVA cc @aytanzania”
Choamva-FA2
Mwana FA na Millard Ayo na wadau wengine
Choamva-B dozen2
B Dozen na Salam
Choamva-Kimani
Vanessa Mdee na Victoria Kimani wa Kenya “With my East African Bad Gyals and Dope Artists @vanessamdee and @xtaticsamz Last Night #Tanzania #Kenya #WeDoDis #Love”

Choamva-FA n Millard
Choamva-KIMANI2
Choamva-B dozen
“#NightLife#Jozi#LivingMyLife#ClubKong”

No comments:

Post a Comment

ShareThis