Msanii wa filamu Wastara leo ameungana na wadau mbalimbali wa filamu makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kusoma dua kwaajli ya marehemu mume wake, Juma Kilowoko aliyekuwa maarufu kwa jina Sajuki.

Mzee Chillo akiwa na Wastara
Hata hivyo Wastara alisema baada ya
shughuli ya leo. dua rasmi ya marehemu Sajuki itafanyikia nyumbani kwao Songea, January 2, 2014.

Wasanii wa filamu na wadau mbalimbali walijumuika.

Wastara na Flora Mvungi

Dua ikisomwa

Picha kwa hisani ya Wastara

No comments:
Post a Comment