Sunday, December 1, 2013

SAD NEWS: Paul Walker wa Fast and Furious Afariki Dunia kwa ajali ya Gari (Tazama Picha ya Ajali hiyo ipo Hapa).

Tragic accident: Representatives for actor Paul Walker have confirmed that the star died in a car accident this afternoon
Hili ni janga lingine ambalo limewakuta wale wapenzi wa movie especially wale wapenzi wa  Star Paul Walker (40) ambaye imeripotia masaa machache
kwamba staa huyo amefariki dunia kwa kutokana na ajali ya gari iliyotokea Santa clarita.
Horror crash: First responders gather evidence near the wreckage of a Porsche sports car that crashed into a light pole on Hercules Street near Kelly Johnson Parkway in Valencia on Saturday, November 30, killing actor Paul Walker
 Picha ya Ajali aliyoipata Paul na rafiki yake

Staa huyo aliyekuwa akiendeshwa na rafiki yake wakielekea  kutoa misaada kwneye organization yake na ndipo kulitokea ajali hiyo ambayo iliwapelekea wawili hao kufariki dunia. Inasemekana Dereva amabaye ni Rafiki wa paul ali lose control nakujikuta akigonga nguzo za katikati ya barabara.

Crash site: Sheriff deputies work near the wreckage of the Porsche sports car that crashed into a pole on Hercules Street near Kelly Johnson Parkway in Valencia on Saturday
Inasemekana ilikuwa ngumu kwa watu na  vikosi vya usalama kujua ni nani na nani walipoteza maisha baada ya kutanganzwa kuwa watu wawili wamepoteza maisha kwa ajali ya gari  lakini mwakilishi mmoja wa Muigizaji huyo alisema kuwa katika watu wawili waliopoteza  maisha mmoja wao alikuwa ni Paul walker.
hivyo aliweza kupost habari za ku confirm kwamba staa huyo hayupo tena duniani
Mystery: Investigators do not know what caused the driver of the vehicle to lose control and crash into a telegraph pole

Rest in peace brother....mungu aitie nguvu ndugu, jamaa, na marafiki

SOURCE: Daily mail in uk

No comments:

Post a Comment

ShareThis